View guest book

K

 

Date:February 6, 2012 06:25

MASOUD KIPANYA  
City Name: DAR  
Country Name TZ  
Feedback jamani, hayo maneno yaliyoko kwenye today's cartoon nahisi ni matokeo ya ujuaji wa kiteknolojia, yaani mtu anaweza kuingilia URL yako na kupost kitu. nawaomba radhi kwa hilo. mafundi wanalishughulikia

 

 

Date:February 4, 2012 17:14

Zacharia Gerard  
City Name: Kahama Shinyanga  
Country Name Tanzania  
Feedback Nafurahi&kuburudika sana kupitia kazi zako

 

 

Date:February 2, 2012 18:12

raphael makale  
City Name: dar-es-salaam  
Country Name tanzania  
Feedback nafulaishwa sana na kazi yako ya catoon za ukweli enzi ya mkapa ulimchola sana siku izi sijaona kcatoon za jk vipi unamuogopa?

 

Previous | Next

Listing 3 clients of 638 total clients

 
 
 
© 2005 All rights reserved by Masoud Kipanya